Zijue taratibu za uzalishaji wa mbegu za viazi vitamu zilizothibitishwa ubora wake

Loading...
Thumbnail Image

Date

0209-07

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mradi wa Bioinnovate - ICOPSEA

Abstract

Viazi vitamu ni zao muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia nafuu ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu hutumika kama mboga na hivyo ni chanzo cha vitamini na madini joto mwilini. Pia viazi vitamu ni chanzo cha kipato kwa familia na taifa.

Description

Kipeperushi

Keywords

Viazi, Viazi vitamu, Mbegu za viazi vitamu, Majani ya viazi vitamu

Citation

Collections