Usindikaji rahisi wa muhogo
Loading...
Date
2022
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo( SUA )
Abstract
Muhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa
"Tanzania. Faida za muhogo ni nyingi na
hasa katika kuongeza uhakika wa chakula
na pato la kaya. Uboreshwaji wa njia za
kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali
za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo
katika kilimo hapa Tanzania. Shime sote
tuongeze juhudi katika kilimo cha muhogo -
MUHOGO NI MALI.
Description
Kipeperushi
Keywords
Muhogo, Uindikaji wa muhogo, mihogo michungu, mihogo mitamu