Aina za mbegu bora za muhogo zilizogunduliwa na kuthibishwa kutumika Tanzania
Loading...
Date
2025
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARI
Abstract
Mbegu hizi zinapatikana kwenye vituo vya utafiti wa kilimo (TARI) - na kwa wazalishaji mbegu katika madaraja yote: Awali, Msingi, Kuthibitishwa Ubora na mbegu. Mbegu hizi zina sifa zifuatazo; ; "Mavuno yenye tija, Wanga, Ungaunga, Ustahimilivu wa mazingira, Ustahimilivu wa wadudu (Tanabui, Vidung’ata, Nzi weupe) na Ukinzani wa magonjwa (Batobato, Michirizi ya Kahawia na Baka Jani).
Description
Vipeperushi
Keywords
Mihogo, Mbegu