Kitalu mkeka kilichoboreshwa

Loading...
Thumbnail Image

Date

2024

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Abstract

Kitalu mkeka ni nini? Kitalu mkeka ni uoteshaji wa miche ya mpunga katika udongo iliyochanganywa na samadi na kusambazwa kina kifupi juu ya ardhi iliyosawazishwa na isiyoruhusu mizizi kupenya Miche hii inakuwa tayari kupandwa ndani ya siku 8 -14 baada ya kuota.

Description

Kipeperushi

Keywords

Mpunga, Miche ya mpunga, Kitalu

Citation

Collections