Utengenezaji wa sosi ya nyanya

Loading...
Thumbnail Image

Date

2024

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Abstract

Sosi ya nyanya ni bidhaa inayotengenezwa kutokana na nyanya zilizosagwa na kupikwa pamoja na viungo maalum. Mchakato huu husaidia kuhifadhi sosi kwa muda mrefu huku ikihifadhi ladha na ubora wake. Nyanya zenye rojo nzito kama Roma na Tengeru 97 ndizo zinazofaa zaidi kwa utengenezaji wa sosi.

Description

Kipeperushi

Keywords

Nyanya

Citation

Collections