Utengenezaji wa sosi ya nyanya
| dc.contributor.author | Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) | |
| dc.date.accessioned | 2026-09-07T08:33:28Z | |
| dc.date.available | 2026-09-07T08:33:28Z | |
| dc.date.issued | 2024 | |
| dc.description | Kipeperushi | |
| dc.description.abstract | Sosi ya nyanya ni bidhaa inayotengenezwa kutokana na nyanya zilizosagwa na kupikwa pamoja na viungo maalum. Mchakato huu husaidia kuhifadhi sosi kwa muda mrefu huku ikihifadhi ladha na ubora wake. Nyanya zenye rojo nzito kama Roma na Tengeru 97 ndizo zinazofaa zaidi kwa utengenezaji wa sosi. | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1026 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) | |
| dc.subject | Nyanya | |
| dc.title | Utengenezaji wa sosi ya nyanya | |
| dc.type | Other |