Utaratibu wa kumwagilia maji kwa teknologia ya AWD
Loading...
Date
2023
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
Abstract
Usimamizi wa maji ni mojawapo ya shughuli muhimu katika kilimo cha mpunga Inashauriwa kumwagilia kwa mfumo wa kuingiza na kusubili maji yakauke shambani kabla ya kumwagilia tena (AWD). Kwa kufanya hivyo husaidia kupunguza maji kati ya asilimia 40-50 kuanzia hatua ya kupanda hadi kuvuna. Mbinu hii, husaidia mzunguko wa hewa ardhini katika mashamba ya mpunga na pia inasaidia mizizi kukuwa vizuri.
Description
Kipeperushi
Keywords
Maji, Umwagiliaji