Utaratibu wa kumwagilia maji kwa teknologia ya AWD

dc.contributor.authorTaasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
dc.date.accessioned2026-09-07T09:03:43Z
dc.date.available2026-09-07T09:03:43Z
dc.date.issued2023
dc.descriptionKipeperushi
dc.description.abstractUsimamizi wa maji ni mojawapo ya shughuli muhimu katika kilimo cha mpunga Inashauriwa kumwagilia kwa mfumo wa kuingiza na kusubili maji yakauke shambani kabla ya kumwagilia tena (AWD). Kwa kufanya hivyo husaidia kupunguza maji kati ya asilimia 40-50 kuanzia hatua ya kupanda hadi kuvuna. Mbinu hii, husaidia mzunguko wa hewa ardhini katika mashamba ya mpunga na pia inasaidia mizizi kukuwa vizuri.
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1034
dc.language.isoother
dc.publisherTaasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
dc.subjectMaji
dc.subjectUmwagiliaji
dc.titleUtaratibu wa kumwagilia maji kwa teknologia ya AWD
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Utaratibu wa kumwagilia maji kwa teknolojia ya AWD.pdf
Size:
1.46 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections