Kilimo cha mbaazi cha mda mrefu

dc.contributor.authorTaasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania
dc.date.accessioned2023-10-03T08:50:47Z
dc.date.available2023-10-03T08:50:47Z
dc.date.issued2023
dc.description.abstractMbaazi ni zao jamii ya mikunde,faida kubwa ya zao hili ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. Linavumilia ukame. Hupunguza umaskini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya. Hurutubisha udongo. Linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama. Ili kujipatia mazao mengi na bora ya mbaazi ya mda mrefu zingatia maelezo yaliyomo katika kipeperushi hiki.en_US
dc.identifier.citationwww.tari.go.tzen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/744
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTarien_US
dc.subjectMbaazien_US
dc.subjectMda mrefuen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleKilimo cha mbaazi cha mda mrefuen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mbaazi muda mrefu(3).pdf
Size:
495.89 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections