MATUMIZI BORA YA ARDHI- Mafunzo kutoka Mlima Meru

dc.contributor.authorLyimo-Macha, J. G
dc.contributor.authorMalimbwi, R. E
dc.contributor.authorKiranga, E
dc.contributor.authorKawamala, P
dc.date.accessioned2020-09-21T06:10:00Z
dc.date.available2020-09-21T06:10:00Z
dc.date.issued2002-09
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo Wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Wagani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha mafunzo yatokanayo na ziara iliyofanyika Septemba 2002. Ziara hii iliwashirikisha wakulima na washauri wa wakulima kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Kilosa, Handeni, Pangani, Mkuranga na Morogoro na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumuisha wakulima na wagani kutoka wilaya za Mbeya, Mafinga, Njombe, Mbinga na Mbozi ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Arumeru, Arusha walioshiriki katika rnradi wa SCAPA. Makala hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza.en_US
dc.identifier.isbn9987-650-72-9
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/496
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania - TARP II - SUA Project)en_US
dc.relation.ispartofseriesTARP II-SUA Project;No. TS2-58
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.titleMATUMIZI BORA YA ARDHI- Mafunzo kutoka Mlima Meruen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
matunzi bora ya ardhi0001.pdf
Size:
12.72 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: