Mnyauko bakteria wa migomba

Loading...
Thumbnail Image

Date

2014

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Africa Soil Health Consortium

Abstract

Ugonjwa wa Banana Xanthomonas wilt (BXW) umepewa jina lake kutoka kwa bakteria wanaoambukiza na hatimaye kuua mgomba. Ugonjwa huo umeongezeka sana Uganda tangu ulipopatikana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2001 na sasa umeenea katika kanda yote. Aina zote za migomba hushambuliwa ingawa matokeo ya utafiti yameonyesha uwezekano wa kupatikana kwa aina sugu siku zijazo. Aina kuu ya usimamiaji kwa sasa ni kuzingatia usafi wa shamba: kupanda mazao ya afya, kutumia zana safi za kukatia na kuondoa maua dume ili kupunguza kuathiriwa kupitia wadudu wanaobeba bakteria wakati wanapofyonza utomvu. Ugonjwa wa BXW haupatikani Afrika Magharibi; na ule ugonjwa mwengine mkubwa zaidi wa mnyauko bacteria duniani kote unaosababishwa na Ralstonia solanacearum (ugonjwa wa Moko), haupatikani kote Afrika

Description

Keywords

Migomba, Ndizi, Mnyauko

Citation

Collections