Mnyauko bakteria wa migomba

dc.contributor.authorBoa, E
dc.date.accessioned2020-12-07T09:50:08Z
dc.date.available2020-12-07T09:50:08Z
dc.date.issued2014
dc.description.abstractUgonjwa wa Banana Xanthomonas wilt (BXW) umepewa jina lake kutoka kwa bakteria wanaoambukiza na hatimaye kuua mgomba. Ugonjwa huo umeongezeka sana Uganda tangu ulipopatikana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2001 na sasa umeenea katika kanda yote. Aina zote za migomba hushambuliwa ingawa matokeo ya utafiti yameonyesha uwezekano wa kupatikana kwa aina sugu siku zijazo. Aina kuu ya usimamiaji kwa sasa ni kuzingatia usafi wa shamba: kupanda mazao ya afya, kutumia zana safi za kukatia na kuondoa maua dume ili kupunguza kuathiriwa kupitia wadudu wanaobeba bakteria wakati wanapofyonza utomvu. Ugonjwa wa BXW haupatikani Afrika Magharibi; na ule ugonjwa mwengine mkubwa zaidi wa mnyauko bacteria duniani kote unaosababishwa na Ralstonia solanacearum (ugonjwa wa Moko), haupatikani kote Afrikaen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/534
dc.language.isootheren_US
dc.publisherAfrica Soil Health Consortiumen_US
dc.subjectMigombaen_US
dc.subjectNdizien_US
dc.subjectMnyaukoen_US
dc.titleMnyauko bakteria wa migombaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
34-tubers-banana-xanthomas-kiswahili(1).pdf
Size:
562.91 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections