Kilimo cha Mkonge Tanzania -

dc.contributor.authorBatare, M
dc.date.accessioned2018-10-12T11:09:23Z
dc.date.available2018-10-12T11:09:23Z
dc.date.issued2018-01
dc.description.abstractZao la mkonge liliingizwa nchini mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo. Mtaalamu huyo alichukua miche 1000 kutoka pwani ya Mexico kwenye jimbo la Yuctan ambalo ambalo ndilo asili ya jina katani na kuisafisha kwa magendo kwa kupitia Frolida , Marekani na Humburg Ujerumani. Kati ya miche 1000, ni miche 62 tu ndiyo iliyofika Tanganyika na ilipandwa sehemu iitwayo kikokwe huko Pangani Tanga. Mkonge ulisambaa maeneo mengi ya Tanganyika mpaka kufikia mwanzoni mwa miaka 1960 Tanganyika ilikuwa inaongoza kwa uzalishaji wa mkonge ikifatiwa na Brazil na mexico kwa mauzo ya tani 230,000 kwa mwaka nje ya nchi .en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/354
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKituo cha Utafiti Mlingano - ARIen_US
dc.subjectMkongeen_US
dc.subjectKatanien_US
dc.subjectTangaen_US
dc.titleKilimo cha Mkonge Tanzania -en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
katani 1.pdf
Size:
64.01 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections