Kilimo bora cha apple
Loading...
Date
2017-10-02
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Sokoine university of agriculture
Abstract
Apple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni lazima yapikwe ili uweze kuyala.Matunda ya apple hayafanyi vizuri katika maeneo ya joto, huitaji hali ya hewa iliyo tulia na isio kua na joto kali, kutokana na mahitaji haya apple hukua vizuri Tanzania kwenye maeno ya umbali wa 2000- 3000 miters kutoka usawa wa bahari. mfano Mbeya, Arusha na Iringa.
Description
Keywords
kilimo, Apple
Citation
www.tanzanianakilimo.blogspot.com