Kilimo bora cha apple

dc.contributor.authorImani, Rababa
dc.date.accessioned2024-09-02T09:40:52Z
dc.date.available2024-09-02T09:40:52Z
dc.date.issued2017-10-02
dc.description.abstractApple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni lazima yapikwe ili uweze kuyala.Matunda ya apple hayafanyi vizuri katika maeneo ya joto, huitaji hali ya hewa iliyo tulia na isio kua na joto kali, kutokana na mahitaji haya apple hukua vizuri Tanzania kwenye maeno ya umbali wa 2000- 3000 miters kutoka usawa wa bahari. mfano Mbeya, Arusha na Iringa.en_US
dc.identifier.citationwww.tanzanianakilimo.blogspot.comen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/898
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of agricultureen_US
dc.subjectkilimoen_US
dc.subjectAppleen_US
dc.titleKilimo bora cha appleen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kilimo bora cha apple.pdf
Size:
112.63 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections