Uboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharage

dc.contributor.authorSokoine University of Agriculture, Mradi wa Food land Mvomero
dc.date.accessioned2024-08-02T06:58:25Z
dc.date.available2024-08-02T06:58:25Z
dc.date.issued2024-07
dc.descriptionFor public useen_US
dc.description.abstractLishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo.Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni.Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa umaskini na njaa katika kaya na jamii kwa jumlaen_US
dc.description.sponsorshipSUA $ Food Landen_US
dc.identifier.citationSUA -Morogoroen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/897
dc.publisherSUA $ Food landen_US
dc.subjectUboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharageen_US
dc.titleUboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharageen_US
dc.title.alternativeUzalishaji na ulaji wa maharageen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Lishe.pdf
Size:
1.29 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Lishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo. Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ya magonjwa na kuwa na maisha marefu
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections