Mifumo endelevu ya nishati ya miti (mkaa na kuni) Tanzania : mwongozo wa mafunzo ya awali

Loading...
Thumbnail Image

Date

2018-10-09

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

WORLD AGROFORESTRY CENTRE

Abstract

Nishati ya miti (mkaa na kuni) ni aina ya nishati inayotumika zaidi kwenye kupikia na kwenye kuota moto kusini mwa Jangwa la Sahara na hutumika kwenye biashara ndogo ndogo kama migahawa, uokaji, biashara za mamantilie, utengenezaji wa matofali, pamoja na ukaushaji wa mazao kama chai na tumbaku.  Zaidi ya 90% ya wakazi kusini mwa Jangwa la Sahara inategemea ama kuni au mkaa.  Nishati ya miti huchangia yapata 90% ya nishati ya miti nchini Tanzania.  Mkaa unatumika zaidi mijini wakati kuni hutumika zaidi vijijini. Yapata 70% ya kaya za mijini hutegemea mkaa.  Afrika huzalisha 62% ya mkaa wote duniani ambao unakisiwa kufikia tani milioni 52.  Tanzania inashika nafasi ya saba kwa uzalishaji wa mkaa duniani, ikichangia kama 3% ya uzalishaji wa mkaa wote duniani, kwa kiasi cha zaidi ya tani 1.6.

Description

Keywords

Mambo yahusuyo uendelevu kwenye mifumo ya nishati ya miti, BIASHARA NA MASOKO YA NISHATI YA MITI, MKAA MBADALA KAMA CHANZO MBADALA CHA NISHATI YA BIOMASI, MFUMO WA SERA NA UDHIBITI WA NISHATI YA MITI, SABABU NA MADHARA YATOKANAYO NA MIFUMO ISIYO ENDELEVU YA NISHATI YA MITI

Citation

http://dx.doi.org/10.5716/B17979.PDF

Collections