Mifumo endelevu ya nishati ya miti (mkaa na kuni) Tanzania : mwongozo wa mafunzo ya awali

dc.contributor.authorTAREA
dc.date.accessioned2022-04-12T11:35:46Z
dc.date.available2022-04-12T11:35:46Z
dc.date.issued2018-10-09
dc.description.abstractNishati ya miti (mkaa na kuni) ni aina ya nishati inayotumika zaidi kwenye kupikia na kwenye kuota moto kusini mwa Jangwa la Sahara na hutumika kwenye biashara ndogo ndogo kama migahawa, uokaji, biashara za mamantilie, utengenezaji wa matofali, pamoja na ukaushaji wa mazao kama chai na tumbaku.  Zaidi ya 90% ya wakazi kusini mwa Jangwa la Sahara inategemea ama kuni au mkaa.  Nishati ya miti huchangia yapata 90% ya nishati ya miti nchini Tanzania.  Mkaa unatumika zaidi mijini wakati kuni hutumika zaidi vijijini. Yapata 70% ya kaya za mijini hutegemea mkaa.  Afrika huzalisha 62% ya mkaa wote duniani ambao unakisiwa kufikia tani milioni 52.  Tanzania inashika nafasi ya saba kwa uzalishaji wa mkaa duniani, ikichangia kama 3% ya uzalishaji wa mkaa wote duniani, kwa kiasi cha zaidi ya tani 1.6.en_US
dc.description.sponsorshipClimate Technology Centre and Network ( CTCN)en_US
dc.identifier.citationhttp://dx.doi.org/10.5716/B17979.PDFen_US
dc.identifier.isbn978–9966–108–13-5
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/591
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWORLD AGROFORESTRY CENTREen_US
dc.subjectMambo yahusuyo uendelevu kwenye mifumo ya nishati ya mitien_US
dc.subjectBIASHARA NA MASOKO YA NISHATI YA MITIen_US
dc.subjectMKAA MBADALA KAMA CHANZO MBADALA CHA NISHATI YA BIOMASIen_US
dc.subjectMFUMO WA SERA NA UDHIBITI WA NISHATI YA MITIen_US
dc.subjectSABABU NA MADHARA YATOKANAYO NA MIFUMO ISIYO ENDELEVU YA NISHATI YA MITIen_US
dc.titleMifumo endelevu ya nishati ya miti (mkaa na kuni) Tanzania : mwongozo wa mafunzo ya awalien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mfumo endelevu wa nishati ya miti (mkaa na kuni) Tanzania.pdf
Size:
2.54 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections