Faida katika miradi ya kilimo - Maharage
No Thumbnail Available
Date
2024-02-24
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo
Abstract
Kilimo Biashara ni shughuli za biashara na usimamizi zinazofanywa na makampuni na wazalishaji ambazo hujishughulisha katika utoaji wa pembejeo kwa sekta ya kilimo na ufugaji, kuzalisha mazao, uchakataji, usafirishaji, huduma za kifedha, usambazaji, au utafutaji wa masoko ya mazao.
Description
Jarida
Keywords
Maharage, Kilimo, Miradi ya Kilimo