Funza wa vitumba vya pamba (Helicoverpa armigera)

dc.contributor.authorChernoh, E
dc.date.accessioned2018-10-12T11:06:46Z
dc.date.available2018-10-12T11:06:46Z
dc.date.issued2014-11
dc.description.abstractFunza wa vitumba ni mdudu msumbufu wa mimea mingi muhimu ya chakula, mafuta na fedha duniani kote, ikiwa ni pamoja na nafaka, mikunde, matunda na mboga. Ushambulizi mkali wa viwavi wa nondo huyu kunaweza kusababisha hasara kwa mavuno yote. Kudhibiti kwa njia ya kemikali kunapaswa kufanywa kwa makini na wakati mwafaka kwa kuwa viwavi hutoboa na kuingia ndani ya nafaka au matunda ya mmea, hivyo kuweza kulindwa. Usugu kwa dawa, kama vile za pyrethroid, kumeripotiwa katika nchi nyingi. Bakteria aina ya Bacillus thuringiensis(Bt) na madawa ya mwarobaini hutoa udhibiti wa ufanisi dhidi ya viwavi na wakati huo huo kupunguza uharibifu wa maadui wa kiasili. Udhibiti muhimu wa kitamaduni ni pamoja na kuondoa na kuharibu mabaki ya mimea baada ya kuvuna, kulima udongo ili uwatoe nje pupae na kupanda kwa wakati mmoja.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/342
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCABIen_US
dc.subjectFunzaen_US
dc.subjectWaduduen_US
dc.subjectPambaen_US
dc.titleFunza wa vitumba vya pamba (Helicoverpa armigera)en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
29-cereals-cotton-bollworm-kiswahili-1.pdf
Size:
535.68 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections