Halmashauri ya taifa ya mazao

Loading...
Thumbnail Image

Date

1971

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Nuta Press

Abstract

Kabla ya Tanzania kupata uhuru, serikaii ya kikoloni ilijiingiza sana katika mazao ya biashara na nchi za nje na haikujali sanajuu ya mazao yaliyotumika humu nchini hasa yale ya chakula ambayo wananchi hutumia. Siasa yao ya kikoloni wakati huo ilikuwa kuku- za mazao ambayo yangeuzwa na kukuza uchumi wa nchi zao. Siasa hiyo kwa kweli iliweza kuleta madhara kwa mazao ambayo yangetumika au kuliwa humu nchini, kwa hiyo upanuzi wa kilimo cha mazao machache kuliifanya Tanganyika kutesemea mazao kama katani na kahawa kuwa mazao makuu ya biashara na nchi za nje.

Description

Keywords

Mazao, Halmashauri, Taifa

Citation

Collections