Halmashauri ya taifa ya mazao

dc.contributor.authorwizara ya kilimo
dc.date.accessioned2024-04-05T07:39:37Z
dc.date.available2024-04-05T07:39:37Z
dc.date.issued1971
dc.description.abstractKabla ya Tanzania kupata uhuru, serikaii ya kikoloni ilijiingiza sana katika mazao ya biashara na nchi za nje na haikujali sanajuu ya mazao yaliyotumika humu nchini hasa yale ya chakula ambayo wananchi hutumia. Siasa yao ya kikoloni wakati huo ilikuwa kuku- za mazao ambayo yangeuzwa na kukuza uchumi wa nchi zao. Siasa hiyo kwa kweli iliweza kuleta madhara kwa mazao ambayo yangetumika au kuliwa humu nchini, kwa hiyo upanuzi wa kilimo cha mazao machache kuliifanya Tanganyika kutesemea mazao kama katani na kahawa kuwa mazao makuu ya biashara na nchi za nje.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/847
dc.language.isootheren_US
dc.publisherNuta Pressen_US
dc.subjectMazaoen_US
dc.subjectHalmashaurien_US
dc.subjectTaifaen_US
dc.titleHalmashauri ya taifa ya mazaoen_US
dc.title.alternativeMazaoen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Halmashauri za Taifa ya Mazao-1963-1971.pdf
Size:
1.35 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections