Mwongozo wa uendelezaji endelevu wa biofueli kimiminika Tanzania

Loading...
Thumbnail Image

Date

2010-11

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Nishati na Madini, Tanzania

Abstract

Katika miaka ya karibuni, uendelezaji wa biofueli umekuwa ni agenda ya kawaida duniani kote. Fueli zimiminikazo ambazo zinatokana na tungamotaka zinathibitisha kuwa mbadala wa fueli za fosili hususani bidhaa za petroli katika hali ya mafuta ya petroli na dizeli. Hivyo, biofueli zinaweza kutumika katika kupikia, kutoa mwanga, kuzalisha umeme na kuendeshea vyombo vya usafiri. Biofueli kwa ufafanuzi ni fueli zitokanazo na tungamotaka na zinaweza kuwa katika hali ya yabisi, gesi na kimiminika. Biofueli yabisi ni pamoja na mkaa na kuni; biofueli gesi ni biogesi, gesi inayozalishwa katika madampo yaliyofukiwa na udongo, n.k, na biofueli kimiminika inajumuisha mafuta yanayotokana na mbegu za mimea au mimea yenyewe kama, ethano na biodizeli.

Description

Keywords

Biofueli, Mbegu za mafuta, Udongo, Nishati, Kuni, Mkaa

Citation