Mwongozo wa uendelezaji endelevu wa biofueli kimiminika Tanzania

dc.date.accessioned2018-06-22T08:31:09Z
dc.date.available2018-06-22T08:31:09Z
dc.date.issued2010-11
dc.description.abstractKatika miaka ya karibuni, uendelezaji wa biofueli umekuwa ni agenda ya kawaida duniani kote. Fueli zimiminikazo ambazo zinatokana na tungamotaka zinathibitisha kuwa mbadala wa fueli za fosili hususani bidhaa za petroli katika hali ya mafuta ya petroli na dizeli. Hivyo, biofueli zinaweza kutumika katika kupikia, kutoa mwanga, kuzalisha umeme na kuendeshea vyombo vya usafiri. Biofueli kwa ufafanuzi ni fueli zitokanazo na tungamotaka na zinaweza kuwa katika hali ya yabisi, gesi na kimiminika. Biofueli yabisi ni pamoja na mkaa na kuni; biofueli gesi ni biogesi, gesi inayozalishwa katika madampo yaliyofukiwa na udongo, n.k, na biofueli kimiminika inajumuisha mafuta yanayotokana na mbegu za mimea au mimea yenyewe kama, ethano na biodizeli.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/204
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Nishati na Madini, Tanzaniaen_US
dc.subjectBiofuelien_US
dc.subjectMbegu za mafutaen_US
dc.subjectUdongoen_US
dc.subjectNishatien_US
dc.subjectKunien_US
dc.subjectMkaaen_US
dc.titleMwongozo wa uendelezaji endelevu wa biofueli kimiminika Tanzaniaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
liquidbiofuelsswahili.pdf
Size:
613.54 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: