Jarida la Mifugo na uvuvi
Loading...
Date
2026-01
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Abstract
Waziri wa Mifugo na Uvuvi,
Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally
Kakurwa (Mb.), amekutana
na kufanya mazungumzo na
ujumbe wa Mfuko wa Kimataifa
wa Maendeleo ya Kilimo
(IFAD) ambapo wamejadili
kuhusu miradi inayotekelezwa
kuendeleza sekta ya mifugo
na uvuvi.
Akizungumza katika kikao
hicho kilichofanyika Januari 16,
2026, ofisini kwake Mtumba,
jijini Dodoma, Mhe. Balozi
Dkt.
Bashiru
ameonesha
kufurahishwa na ujio wa ujumbe
huo ikiwa ni sehemu ya kutambua
mchango wa IFAD nchini.
Amesema serikali ya awamu
ya sita imeendelea kuimarisha
mazingira rafiki ili kuruhusu
wawekezaji na sekta binafsi
kushiriki katika kusukuma
maendeleo
ya
wananchi.
Description
Jarida
Keywords
SAMAKI, MALISHO, MIFUGO, UVUVI, MIKOPO