Jarida la Mifugo na uvuvi

dc.contributor.authorWizara ya Mifugo na Uvuvi
dc.date.accessioned2026-03-16T07:38:34Z
dc.date.available2026-03-16T07:38:34Z
dc.date.issued2026-01
dc.descriptionJarida
dc.description.abstractWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ambapo wamejadili kuhusu miradi inayotekelezwa kuendeleza sekta ya mifugo na uvuvi. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Januari 16, 2026, ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru ameonesha kufurahishwa na ujio wa ujumbe huo ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa IFAD nchini. Amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kuimarisha mazingira rafiki ili kuruhusu wawekezaji na sekta binafsi kushiriki katika kusukuma maendeleo ya wananchi.
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/962
dc.language.isoother
dc.publisherWizara ya Mifugo na Uvuvi
dc.relation.ispartofseriesWMU 014
dc.subjectSAMAKI
dc.subjectMALISHO
dc.subjectMIFUGO
dc.subjectUVUVI
dc.subjectMIKOPO
dc.titleJarida la Mifugo na uvuvi
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JARIDA LA MIFUGO NA UVUVI - TOLEO LA JANUARI 2026.pdf
Size:
3.18 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Jarida
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections