Kilimo bora cha soya
Loading...
Date
2009-06-15
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Program ya PANTIL chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo
Abstract
Soya ni zao linalopatikana katika mimea ya jamii ya mikunde ambayo inahusisha mazao mengine kama maharage, njugu mawe, mbaazi, kunde, fiwi, dengu na choroko. Zao hili linaaminika kuwa asili yake ni Asia ya mashariki. Mbegu ya mazao hutofautiana kwa ukubwa, nyingine zikiwa ndogo sana na nyingine zikiwa kubwa kiasi na vile vile rangi kuanzia nyeusi hadi rangi inayokaribia manjano.
Description
Keywords
Zao la soya, Soya bora, Mbegu za soya, Upandaji soya