Kilimo bora cha soya

dc.contributor.authorLaswai, Henry S.
dc.date.accessioned2022-04-12T12:32:52Z
dc.date.available2022-04-12T12:32:52Z
dc.date.issued2009-06-15
dc.description.abstractSoya ni zao linalopatikana katika mimea ya jamii ya mikunde ambayo inahusisha mazao mengine kama maharage, njugu mawe, mbaazi, kunde, fiwi, dengu na choroko. Zao hili linaaminika kuwa asili yake ni Asia ya mashariki. Mbegu ya mazao hutofautiana kwa ukubwa, nyingine zikiwa ndogo sana na nyingine zikiwa kubwa kiasi na vile vile rangi kuanzia nyeusi hadi rangi inayokaribia manjano.en_US
dc.identifier.isbn978 9987 640 508
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/600
dc.language.isootheren_US
dc.publisherProgram ya PANTIL chuo kikuu cha Sokoine cha kilimoen_US
dc.subjectZao la soyaen_US
dc.subjectSoya boraen_US
dc.subjectMbegu za soyaen_US
dc.subjectUpandaji soyaen_US
dc.titleKilimo bora cha soyaen_US
dc.title.alternativeMahitaji ya uzalishaji wa soya boraen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
kilimo bora cha soya0001.pdf
Size:
11 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections