Lishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi umri wa miaka 2 hadi 9

dc.contributor.authorMwasi, Fatma
dc.contributor.authorMateru, Mary G.
dc.contributor.authorEdwin, Tuzie
dc.date.accessioned2022-06-27T06:50:54Z
dc.date.available2022-06-27T06:50:54Z
dc.date.issued2006-08-15
dc.description.abstractLishe bora ni rnuhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi vya UKIMWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani nishati-lishe, protini, madini na vitamini. Watoto wanaoishi na virusi vya UKIMWI na wenye UKIMWI wako katika hatari kubwa ya kupata utapiamlo kutokana na: • Ongezeko la mahitaji ya virutubishi hasa nishati-lishe. • Maradhi ya mara kwa mara. • Ulaji duni. • Uyeyushwaji na ufyonzwaji duni wa virutubishi mwilini. Mengi ya maradhi yanayoambatana na kuishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI huathiri mfumo mzima wa ulaj i wa chakula na kusababisha lishe duni. Lishe duni hudhoofisha mfumo wa kinga na hivyo humuweka mtoto katika hatari ya kupata maradhi mbalimbali kwa urahisi. Maradhi na utapiamlo kwa pamoja huhatarisha maisha ya mtoto mwenye virusi vya UKIMWI.en_US
dc.description.sponsorshipRapid Funding Envelope for HIV/AIDS (RFE)en_US
dc.identifier.isbn9987-9017-4-3
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/655
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCOUNSENUTHen_US
dc.subjectVirutubishi mwilinien_US
dc.subjectUKIMWIen_US
dc.subjectLishe ya mtotoen_US
dc.subjectDalili za UKIMWIen_US
dc.subjectLishe boraen_US
dc.titleLishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi umri wa miaka 2 hadi 9en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
scanLISHE0001.pdf
Size:
16.52 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections