Aina Tatu za Kahawa Tanzania
Loading...
Date
2024-03
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mafatanzania blog/Mtanzania.co.tz
Abstract
Kampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe 14 Machi, 2024.
Aina za kinywaji hicho pendwa nchini humo kinachotokana na kahawa kutoka Tanzania ni TULLY’s COFFEE BARISTA BLACK KILIMANJARO; TULLY’S COFFEE MY HOME BLACK KILIMANJARO; na TULLY’S COFFEE BARISTA ROAST COLD BREW – KILIMANJARO BLEND. Kahawa hizo ni kutoka mkoa wa Arusha, Tarime mkoani mara na mashamba ya GDM yaliyoko Mbozi mkoani Mbeya.
Description
Aina Tatu Mpya za Kahawa za Tanzania
Keywords
Aina Tatu mpya za Kahawa Tanzania
Citation
:- https://mfatanzania.blogspot.com/2024/03/aina-tatu-mpya-za-kahawa-za- tanzania.html Inapatikana/ https://mtanzania.co.tz/mtazamo-mpya-zao-la-kahawa/