Aina Tatu za Kahawa Tanzania

dc.contributor.authorMatanzania blog, Mtanzania.co.tz
dc.date.accessioned2024-10-08T07:45:50Z
dc.date.available2024-10-08T07:45:50Z
dc.date.issued2024-03
dc.descriptionAina Tatu Mpya za Kahawa za Tanzaniaen_US
dc.description.abstractKampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe 14 Machi, 2024. Aina za kinywaji hicho pendwa nchini humo kinachotokana na kahawa kutoka Tanzania ni TULLY’s COFFEE BARISTA BLACK KILIMANJARO; TULLY’S COFFEE MY HOME BLACK KILIMANJARO; na TULLY’S COFFEE BARISTA ROAST COLD BREW – KILIMANJARO BLEND. Kahawa hizo ni kutoka mkoa wa Arusha, Tarime mkoani mara na mashamba ya GDM yaliyoko Mbozi mkoani Mbeya.en_US
dc.description.sponsorshipMafatanzania blog/ Mtanzania.co.tzen_US
dc.identifier.citation:- https://mfatanzania.blogspot.com/2024/03/aina-tatu-mpya-za-kahawa-za- tanzania.html Inapatikana/ https://mtanzania.co.tz/mtazamo-mpya-zao-la-kahawa/en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/932
dc.publisherMafatanzania blog/Mtanzania.co.tzen_US
dc.subjectAina Tatu mpya za Kahawa Tanzaniaen_US
dc.titleAina Tatu za Kahawa Tanzaniaen_US
dc.title.alternativeKahawaen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
AINA TATU MPYA ZA KAHAWA ZA TANZANIA YAZINDULIWA NCHINI JAPAN.pdf
Size:
330.51 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Aina Tatu Mpya za kahawa za Tanzania
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections