Jinsi ya kutambua mbegu zisizo na ubora na mbegu bandia (FEKI )
Loading...
Date
2017
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TOSCI
Abstract
Matumizi ya mbegu zisizo na ubora na mbegu bandia (feki) yamesababisha wakulima kupoteza kipato kwa kupata mazao hafifu na hata kutopata mavuno kabisa. Sheria ya Mbegu ya Mwaka 2003, inamlinda mkulima asiuziwe mbegu zisizo na ubora na mbegu bandia (feki). Pamoja na kuthibitisha ubora wa mbegu, TOSCI ina jukumu la kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo ili kumlinda rnkulima asiuziwe mbegu zisizo na ubora na mbegu feki.
Description
Kipeperushi