Kilimo bora cha pilipili kichaa

Loading...
Thumbnail Image

Date

2020-01

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mjasiriamali Hodari

Abstract

Zao la Pilipili kichaa 'Hot pepper' au 'Chilli pepper' (Capsicum frutescens) hulimwa maeneo mengi ulimwenguni ikiwemo nchini Tanzania. Matunda ya pilipili hutumika kwa matumizi mbali mbali kama chakula au kama tiba (medicinal properties) na kuimarisha afya ya mraji. Kwa upande wa chakula pilipili hutumika kama kionjo cha vyakula mbalimbali kama Supu, kachumbali, nyama choma, nyama rosti, maharage, mboga za majani, kutengenezea chilli sauce n.k. Kwenye chakula pilipili huongeza radha maridhawa kabisa, ndio maana mtu aliyezoea kula vyakula vyenye pilipili huwa hafurahii chakula kisichokua na pilipili. Kwa upande wa tiba pilipili/pilipili kichaa ina vitamini nyingi (Capsaicin compounds) ikiwemo niacin, pyridoxine, riboflavin, na thiamine n.k. Uwepo wa vitamini hizi pilipili hutumika katika kutengenezea madawa (Ointment) ya kuondoa maumivu ya viungo na misuli. Kufahamu faida nyingi za kiafya za kutumia pilipili.

Description

Public use

Keywords

Kilimo bora cha pilipili kichaa - sehemu ya kwanza (growing chili pepper - part one) mjasiriamali hodari

Citation

https://mjasiriamalihodari.blogspot.com/2020/01/kilimo-bora- cha- pilipili-kichaa- sehemu.html