Kilimo bora cha pilipili kichaa

dc.contributor.authorMjasiriamali Hodari
dc.date.accessioned2024-07-26T07:21:38Z
dc.date.available2024-07-26T07:21:38Z
dc.date.issued2020-01
dc.descriptionPublic useen_US
dc.description.abstractZao la Pilipili kichaa 'Hot pepper' au 'Chilli pepper' (Capsicum frutescens) hulimwa maeneo mengi ulimwenguni ikiwemo nchini Tanzania. Matunda ya pilipili hutumika kwa matumizi mbali mbali kama chakula au kama tiba (medicinal properties) na kuimarisha afya ya mraji. Kwa upande wa chakula pilipili hutumika kama kionjo cha vyakula mbalimbali kama Supu, kachumbali, nyama choma, nyama rosti, maharage, mboga za majani, kutengenezea chilli sauce n.k. Kwenye chakula pilipili huongeza radha maridhawa kabisa, ndio maana mtu aliyezoea kula vyakula vyenye pilipili huwa hafurahii chakula kisichokua na pilipili. Kwa upande wa tiba pilipili/pilipili kichaa ina vitamini nyingi (Capsaicin compounds) ikiwemo niacin, pyridoxine, riboflavin, na thiamine n.k. Uwepo wa vitamini hizi pilipili hutumika katika kutengenezea madawa (Ointment) ya kuondoa maumivu ya viungo na misuli. Kufahamu faida nyingi za kiafya za kutumia pilipili.en_US
dc.description.sponsorshipMjasiriamali hodari blogen_US
dc.identifier.citationhttps://mjasiriamalihodari.blogspot.com/2020/01/kilimo-bora- cha- pilipili-kichaa- sehemu.htmlen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/892
dc.publisherMjasiriamali Hodarien_US
dc.relation.ispartofseriesSehamu ya kwanza;
dc.subjectKilimo bora cha pilipili kichaa - sehemu ya kwanza (growing chili pepper - part one) mjasiriamali hodarien_US
dc.titleKilimo bora cha pilipili kichaaen_US
dc.title.alternativeKilimo bora cha pilipili kichaa na aina zakeen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 2 of 2
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Pilipili doc..pdf
Size:
325.52 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Public use
No Thumbnail Available
Name:
Pilipili doc..odt
Size:
1.62 MB
Format:
OpenDocument Text
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: