Muongozo wa utunzaji bora wa mashamba ya miti ya wananchi

dc.contributor.authorMalimbwi, Rogers E
dc.contributor.authorZahabu, Eliakimu
dc.contributor.authorKatani, Josiah
dc.contributor.authorMugasha, Wilson
dc.contributor.authorMwembe, Uhuru
dc.date.accessioned2017-08-31T06:43:15Z
dc.date.available2017-08-31T06:43:15Z
dc.date.issued2012-01
dc.description.abstractUpandaji wa miti nchini Tanzania umekuwa ukisisitizwa kwa miongo kadhaa lakini kukubalika kwa shughuli hizi kumekuwa hakuridhishi. Tofauti na watu wa sehemu nyingine za nchi, watu wa Wilaya ya Makete wamehamasika kupanda miti kutokana na hali mbaya ya hewa na ukosefu wa rutuba kwenye udongo sababu ambazo zilisababisha mazao duni ya kilimo. Pia kwa muda mrefu, wananchi wa Wilaya ya Makete wameshajua umuhimu wa miti kwa kuwa kwa kiasi kikubwa mauzo ya miti na mbao yanachangia kipato cha wakulima. Kabla ya kujikita kwenye kilimo cha miti, kipato cha wananchi wa Wilaya ya Makete kilitegemea zaidi mazao ya kilimo kama vile mahindi, ngano, mchele, viazi miviringo na pareto. Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, uzalishaji wa mazao hayo umepungua kwa kiasi kikubwa na wakati mwingine kusababisha tishio la njaa.en_US
dc.identifier.issn978-9987-640-56-0
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/17
dc.language.isootheren_US
dc.publisherClimate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme - CCIAMen_US
dc.subjectMitien_US
dc.subjectUtunzajien_US
dc.subjectMashambaen_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.subjectTabianchien_US
dc.subjectMaketeen_US
dc.titleMuongozo wa utunzaji bora wa mashamba ya miti ya wananchien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MKL Muongozo wa utunzaji wa mashamba ya miti Makete.pdf
Size:
579.71 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections