Jarida maalum la nane nane 2025
Loading...
Date
2025
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Abstract
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
amewataka viongozi wa sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi nchini kuifanya Tanzania
kuwa kitovu cha chakula katika ukanda wa Afrika.
Mhe. Dkt. Mpango amesema hayo wakati wa hotuba yake ya Ufunguzi wa Maonesho
ya kimataifa ya Nane Nane aliyoitoa Agosti 1, 2025 kwenye Viwanja vya Nzuguni jijini
Dodoma ambapo amesisitiza Viongozi hao kuwa kinara kwenye utekelezaji wa dira ya
Taifa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025-2050.
Aidha Dkt. Mpango amewataka wafugaji kuwekeza katika uzalishaji wa kisasa wa
bidhaa zinazotokana na mifugo ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje, kuendeleza
uvuvi na ufugaji wa samaki na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza kwenye
miundombinu baridi ya uhifadhi na usafirishaji wa mazao wa Mifugo na Uvuvi.
Description
Jarida
Keywords
Mifugo, Uvuvi, Maonesho -nane nane, Jarida