Nguvu kazi, mitizamo juu ya hali ya hewa na udongo kwenye maeneo ya umwagiliaji yaliyopo Siipow nchini Kenya na Engaruka nchini Tanzania

dc.contributor.authorCaretta, Martina A.
dc.contributor.authorWesterberg, Lars-Ove
dc.contributor.authorBorjeson, Lowe
dc.contributor.authorOstberg, Wilhem
dc.date.accessioned2019-02-18T07:23:57Z
dc.date.available2019-02-18T07:23:57Z
dc.date.issued2015
dc.description.abstractKijitabu hiki kinatoa matokeo ya mradi wa miaka 4 (2011-2015) yaliyofanywa na wanajiografia wanne kutoka chuo kikuu cha Stockholm. Utafiti huu ulifanyika katika vijiji vidogo viwili, ambavyo ni Siipow nchini Kenya na Engaruka nchiniTanzania. Kwa ujumla mradi huu  uliangalia vitu vikuu vitatu: udongo, hali ya hewa na nguvu kazi. Mambo haya makuu yanaweza kuonyesha aina ya mabadiliko yaliyowahi kujitokeza katika mifumo ya umwagiliaji katika maeneo haya na sababu mahususi zilizosababisha mabadiliko hayo. Katika kijitabu hiki matokeo ya utafiti yameonyeshwa kufuatana na maeneo ya utafiti na hususani: mbinu za kilimo,  mgawanyo wa majukumu ya kazi kwa wanawake na wanaume, sifa za udongo na maji, mabadiliko ya hali ya hewa na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, na jinsi ambavyo mambo haya yote  kwa ujumla yamekuwa yakibadilika kadri muda unavyokwenda.en_US
dc.identifier.isbn978-91-87355-17-2
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/430
dc.language.isootheren_US
dc.publisherDepartment of Human Geography - University of Stockholmen_US
dc.subjectHali ya hewaen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectUdongoen_US
dc.subjectNguvu kazien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMajien_US
dc.titleNguvu kazi, mitizamo juu ya hali ya hewa na udongo kwenye maeneo ya umwagiliaji yaliyopo Siipow nchini Kenya na Engaruka nchini Tanzaniaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
document.pdf
Size:
5.72 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: