Ongeza mavuno ya alizeti kwa kupanda mimea mseto
Loading...
Date
2008
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kenya Agricultural Reseach Institute - KARI
Abstract
Alizeti ni mmea unaotumika sana kama mmea wa mafuta katika Kusini Magharibi mwa Kenya. Ni mmea wa mauzo ya thamani ya juu na hutoa mafuta ya hali ya juu.
Hata hivyo, ukuzaji wake ni wa kiwango cha chini kwa sababu ya kutumia mbegu duni, utunzaji mbaya wa mimea na kuliwa na ndege.
Wakulima wengi humiliki mashamba madogo madogo (ekari 1 hadi 3) na huwa na mtindo wa kupanda mmea kwa pamoja na mahindi kwa matumizi ya nyumbani na alizeti kwa mauzo
Description
Keywords
Alizeti