Ongeza mavuno ya alizeti kwa kupanda mimea mseto

dc.date.accessioned2018-08-30T11:46:44Z
dc.date.available2018-08-30T11:46:44Z
dc.date.issued2008
dc.description.abstractAlizeti ni mmea unaotumika sana kama mmea wa mafuta katika Kusini Magharibi mwa Kenya. Ni mmea wa mauzo ya thamani ya juu na hutoa mafuta ya hali ya juu. Hata hivyo, ukuzaji wake ni wa kiwango cha chini kwa sababu ya kutumia mbegu duni, utunzaji mbaya wa mimea na kuliwa na ndege. Wakulima wengi humiliki mashamba madogo madogo (ekari 1 hadi 3) na huwa na mtindo wa kupanda mmea kwa pamoja na mahindi kwa matumizi ya nyumbani na alizeti kwa mauzoen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/266
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKenya Agricultural Reseach Institute - KARIen_US
dc.relation.ispartofseries;66/2008
dc.subjectAlizetien_US
dc.titleOngeza mavuno ya alizeti kwa kupanda mimea msetoen_US
dc.typeOtheren_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
2011_feb_Ongeza mavuno ya Alizeti kwa kupanda mimea mseto.pdf
Size:
489.51 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections