Namna ya kutaarisha kitali cha miche
Loading...
Date
2015
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai
Abstract
Kitalu ni sehemu maalumu iliyopangiliwa kwa ajili ya kutunzia miche michanga kabla ya kuipeleka shambani ama bustanini. Sio mimea yote inahitaji vitalu ila mimea mingi inahitaji vitalu. Mimea kama mahindi, maharage, karoti, kunde na mchicha haihitaji vitalu. Mimea kama kabeji, vitunguu, sukuma wiki, chainizi, nyanya, bilinganya, hoho, matikiti, matango na mengineyo huhitaji kitalu. Pia miti mingi ya matunda, kuhifadhi mazingira, mbao, dawa nakadhalika huhitaji kitalu.
Description
Keywords
Kitalu, Miche, Bustani