Maazimio ya wananchi kwa Vyama vya siasa kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira: Uchaguzi wa 2015

Loading...
Thumbnail Image

Date

2015-06

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania - MJUMITA na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCG

Abstract

Misitu ni rasilimali muhimu sana ambayo nchi yetu imejaliwa. Inakadiriwa Tanzania ina misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 48.1 ambayo ni sawa na asilimia 38 ya eneo lote la ardhi ya nchi yetu. Misitu hii hata hivyo inakabiliwa na upoteaji wa kiwango cha eneo la hekta 400,000 kwa mwaka, na hii inasababishwa na kilimo cha kuhama hama, mifugo, moto na uvunaji holela na usio endelevu wa mazao ya misitu na shughuli zingine za kibinadamu. Kutokana na changamoto zinazoikabili misitu na jamii inayoishi pembezoni mwa misitu, jamii imeamua kuandaa majumuisho ya changamoto hizo na mapendekezo ya namna ya utatuzi wake. Lengo ni kutumia fursa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 katika utatuzi wa changamoto za misitu na jamii ili misitu yetu iendelee kutoa huduma ya kiikolojia, kiuchumi na kijamii kwa muda mrefu.

Description

Keywords

Misitu, Hifadhi, Mazingira, Tanzania, Uchaguzi Mkuu

Citation