Maazimio ya wananchi kwa Vyama vya siasa kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira: Uchaguzi wa 2015

dc.date.accessioned2018-06-22T07:50:50Z
dc.date.available2018-06-22T07:50:50Z
dc.date.issued2015-06
dc.description.abstractMisitu ni rasilimali muhimu sana ambayo nchi yetu imejaliwa. Inakadiriwa Tanzania ina misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 48.1 ambayo ni sawa na asilimia 38 ya eneo lote la ardhi ya nchi yetu. Misitu hii hata hivyo inakabiliwa na upoteaji wa kiwango cha eneo la hekta 400,000 kwa mwaka, na hii inasababishwa na kilimo cha kuhama hama, mifugo, moto na uvunaji holela na usio endelevu wa mazao ya misitu na shughuli zingine za kibinadamu. Kutokana na changamoto zinazoikabili misitu na jamii inayoishi pembezoni mwa misitu, jamii imeamua kuandaa majumuisho ya changamoto hizo na mapendekezo ya namna ya utatuzi wake. Lengo ni kutumia fursa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 katika utatuzi wa changamoto za misitu na jamii ili misitu yetu iendelee kutoa huduma ya kiikolojia, kiuchumi na kijamii kwa muda mrefu.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/194
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania - MJUMITA na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCGen_US
dc.subjectMisituen_US
dc.subjectHifadhien_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.subjectUchaguzi Mkuuen_US
dc.titleMaazimio ya wananchi kwa Vyama vya siasa kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira: Uchaguzi wa 2015en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MJUMITA Forest Manifesto 2015.pdf
Size:
1.57 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: