Tajirika na kilimo cha parachichi
Loading...
Date
2018
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Biashara Blog
Abstract
Miparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na
Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la “chakula cha mbwa”
kwa kuwa mara nyingi yalipodondoka kutoka kwenye miti yaliliwa na mbwa. Hata hivyo, mikoa ya
kusini (Mbeya) maparachichi yamekuwa tunda muhimu katika milo yote.
Utafiti umeonesha kwamba maparachichi yana mafuta muhimu yanayoondoa mafuta yanayoganda
kwenye mishipa ya damu. Pia yana virutubisho vinavyofanya damu itembee kwa urahisi mwilini.
Maparachichi yana virutubisho vya vitamini E. Kwa sababu hii maparachichiyanatumika katika
kutengeneza vipodozi ya ngozi na nywele.
Description
Keywords
Parachichi, Avacado