Tajirika na kilimo cha parachichi

dc.date.accessioned2018-10-04T08:56:33Z
dc.date.available2018-10-04T08:56:33Z
dc.date.issued2018
dc.description.abstractMiparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la “chakula cha mbwa” kwa kuwa mara nyingi yalipodondoka kutoka kwenye miti yaliliwa na mbwa. Hata hivyo, mikoa ya kusini (Mbeya) maparachichi yamekuwa tunda muhimu katika milo yote. Utafiti umeonesha kwamba maparachichi yana mafuta muhimu yanayoondoa mafuta yanayoganda kwenye mishipa ya damu. Pia yana virutubisho vinavyofanya damu itembee kwa urahisi mwilini. Maparachichi yana virutubisho vya vitamini E. Kwa sababu hii maparachichiyanatumika katika kutengeneza vipodozi ya ngozi na nywele.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/338
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKilimo Biashara Blogen_US
dc.subjectParachichien_US
dc.subjectAvacadoen_US
dc.titleTajirika na kilimo cha parachichien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
parachichi2.pdf
Size:
199.92 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections