Kilimo bora cha Karanga
Loading...
Date
2026
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
Abstract
Karanga ni zao muhimu la mafuta, ambalo hutumika kama chakula cha binadamu. Mashudu na majani yake hutumika kulisha mifugo. Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa karanga Afrika Mashariki na baada ya Sudani kusini. Karanga hustawi zaidi Mikoa ya Mtwara, Dodoma, Shinyanga, Kigoma, Katavi na Tabora.
Description
Kipeperushi
Keywords
Karanga