KILIMO BORA CHA ALIZETI - Sehemu ya Kwanza na Pili (Growing Sunflower - Part One& Two)
No Thumbnail Available
Date
2018-12-27
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mjasiriamali hodari
Abstract
Alizeti (Sunflower) ni zao linalolimwa kwa wingi nchini Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na Duniani kote kwa ujumla. Alizetini zao la biashara na hutumika kutengenezea mafuta ya kupikia (Cooking Oil). Wakulima walio wengi wamekua wakipanda mbegu za kienyeji ambazo mavuno yake huwa hafifu sana tofauti na mbegu za kisasa (Hybrid varieties). Katika makala hii nitakueleza namna ya kuzalisha zao hili kisasa ili upate mavuno mengi.
Description
Alizeti
Keywords
Alizeti
Citation
https://mjasiriamalihodari.blogspot.com/2019/02/kilimo-bora-cha-alizeti-sehemu-ya-pili.html