Uendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipato
Loading...
Date
2010-01
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
SADC - FIRCOP - SUA
Abstract
Muhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa Tanzania na Musumbiji. Faida za
muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la
kaya. Uboreshaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za
vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilito katika nchi hizo mbili.
Tunawahimiza wadau wote kuongeza juhudi katika kilimo cha muhogo. Lengo la kitabu hiki ni kuwaelimisha wakulima wadogowadogo pamoja na wagani wanaowasaidia wakulima juu ya njia mbalimbali za usindikaji wa muhogo ili kuongeza thamani,
Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi kumuwezesha mkulima kuelewa na kufuatilia yaliyomo. Maelezo ya kina kuhusu yaliondikwa kwenye kitabu hiki yanaweza kupatikana kutoka kwa wataalarnu waandalizi wa kitabu hiki.
Description
Keywords
Muhogo, Mihogo, Usindikaji, Matumizi