Uendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipato

dc.contributor.authorMpagalile, J
dc.contributor.authorLaswai, H
dc.contributor.authorBalegu, W
dc.contributor.authorKulwa, K
dc.contributor.authorMsemo, J
dc.contributor.authorMwinuka, V
dc.contributor.authorGowele, D
dc.contributor.authorChaula, D
dc.contributor.authorMakindara, J
dc.date.accessioned2017-11-17T09:57:11Z
dc.date.available2017-11-17T09:57:11Z
dc.date.issued2010-01
dc.description.abstractMuhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa Tanzania na Musumbiji. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilito katika nchi hizo mbili. Tunawahimiza wadau wote kuongeza juhudi katika kilimo cha muhogo. Lengo la kitabu hiki ni kuwaelimisha wakulima wadogowadogo pamoja na wagani wanaowasaidia wakulima juu ya njia mbalimbali za usindikaji wa muhogo ili kuongeza thamani, Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi kumuwezesha mkulima kuelewa na kufuatilia yaliyomo. Maelezo ya kina kuhusu yaliondikwa kwenye kitabu hiki yanaweza kupatikana kutoka kwa wataalarnu waandalizi wa kitabu hiki.en_US
dc.identifier.isbn978 9987 640 54 6
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/69
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSADC - FIRCOP - SUAen_US
dc.subjectMuhogoen_US
dc.subjectMihogoen_US
dc.subjectUsindikajien_US
dc.subjectMatumizien_US
dc.titleUendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipatoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
muhogo.pdf
Size:
12.44 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections