Majaribio kuhusu uhifadhi wa nafaka kijiji cha Mlali

dc.date.accessioned2018-06-22T08:31:35Z
dc.date.available2018-06-22T08:31:35Z
dc.date.issued2014
dc.description.abstractWakulima wengi Tanzania wanapata hasara kubwa inayosababishwa na wadudu waharibifu wa mazao yanapohifadhiwa kwenye maghala. Uharibifu huu unatishia uhakika wa chakula kwa kaya. Kaya zingine zina uwezo wa kununua madawa ya kuulia wadudu, lakini madawa haya yana gharama kubwa na yaweza kuwa na madhara kwa afya zao, (na kama yakiwa yameharibika huwa hayafai kwa matumizi). Mradi huu umebuniwa kutafiti ubunifu kwa ajili ya wakulima kuhusu matumizi ya madawa asilia ya “diatomaceous earths” (vumbivumbi linalotokana na masalia ya zamani ya viumbe wa majini), katika kuhifadhi mazao kama njia mbadala vijijini. Kwa njia hiyo watafiti watawajibika kwanza kufanya majaribio na kulinganisha uwezo wa madawa mbalimbali katika zoezi zima la kudhibiti wadudu waharibifu wa nafaka, ziwapo ghalani. Awali, majaribio haya linganifu yatafanywa kwa kipindi cha miezi 8 kuendana na msimu wa kuhifadhi mazao, kuanzia Julai 2002 hadi Machi 2003.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/206
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Kilimo na Chakula, Tanzaniaen_US
dc.subjectMahindien_US
dc.subjectHifadhien_US
dc.subjectMlalien_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleMajaribio kuhusu uhifadhi wa nafaka kijiji cha Mlalien_US
dc.typePresentationen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mlali_Swah_Poster.pdf
Size:
358.44 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: