Lishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwi
Loading...
Date
2006-08
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kituo cha ushauri nasaha,Lishe na afya
Abstract
Lishe bora ni muhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi
vya UK1MWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto
wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula
ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani nishati-lishe, protini,
madini na vitamini.
Watoto wanaoishi na virusi vya UKIMWI na wenye UKIMWI
wako katika hatari kubwa ya kupata utapiamlo kutokana na:
1. Ongezeko la mahitaji ya virutubishi hasa nishati-lishe.
2. Maradhi ya mara kwa mara,
3. Ulaji duni,
4. uyeyushaji na ufyonzwaji duni wa virutubisho mwilini.
Description
Keywords
Lishe, Virusi, Ukimwi, Mtoto